곡 정보

Far Away (feat. Diamond Platnumz)
Lava Lava
Promise
앱에서 듣기
Oh baby si unajua nakupenda
Ila moyo wangu mdogo
Usijepanda ka basikeli
Oh baby penzi usije lipepeta
Ukalipa kisogo, wakaja kunikejeli
We ndo sweety, my sheri coco Sheri coco
Utamu pipi, mapocho pocho Pocho pocho
Kitandani kwichi kocho kocho Kocho kocho
Raha na dhiki msoto msoto Msoto msoto
Eeh penzi tuchunge chunge asiingie shetani
Wapigazo kofi mbuge wakaa barazani
Wenye domo tuchunge Mungu awalaani
Fitina zao watuongee tukwame njiani
Usiende far Far away
Far away, far Far away
Usiniache ukaenda far Far away
Far baby, far Far away
Ah hee, moyo wangu mama Utayumba yumba
Moyo Utayumba yumba
Mama moyo Utayumba yumba
Mwenzako moyo Utayumba yumba
Baby penzi kitunguu
Usinitoe machozi Machozi
Ukaniweka roho juu
Kuniringia mapozi Mapozi
Tulifanye sikukuu
Tulivalie kitozi
Kisha tudamshe Insta
Vipicha uchokozi
Usinifanye kuku wa kuchora
Siwiki wala kutaga Kutaga
Nikasinga kombolela
Kumbe mnacheza kibaba Kibaba
Nami mwanadamu kukosea yangu kaba
Nisamehe napokukera
Ndio siri ya mahaba
Yarabi penzi nisitiri Amen
Nivyashiriki nabadili Amen
Ili visokonyoko
Yasitimie wanayotabiri Amen
Usiku nikunje kunje nilale tavani
Kipepeo nipunge punge mambo sharukani
Kwa mganga nikufunge funge, ndele kazikani
Eti nikuchunge chunge mambo kizamani
Sa usiende far Far away
Far away, fararira Far away
Usiniache ukaenda far Far away
Far baby, far Far away
Ah hee, moyo wangu mama Utayumba yumba
Moyo, moyo Utayumba yumba
Ah moyo Utayumba yumba
Mwenzako moyo Utayumba yumba
Hee Oneni wanaona donge
Wanaona donge hao
Wale macho kununa
Wanaona donge hao
Watazame wanaona donge
Wanaona donge hao
Wana- Wanaona donge hao
멜론 님께서 등록해 주신 가사입니다.