곡 정보

Nipo Nae
Mbosso
Definition Of Love
앱에서 듣기
Masikini hana fuba, hana fuba
Anazeeka yule mwezangu
Haamini anavyochunda anachunda
Nimeondoka na nyota yangu
Nafsi ilichoka madhira Ooh madhira
Ya pundazo na fadhila Ooh fadhila
Nimempata wa njema dhamira Ooh dhamira
Wa kufunga magoli si wa bila Ooh wa bila
Mmmh shata shata Shata
Penzi limetaradadi
Sina shaka Shaka
Inyeshe na ipige radi
Rasha rasha Rasha
Kwetu mambo maji maji
Baby washa washa Washa
Waambie wanaosubiria
Bado nipo nipo nae
Bado tupo sana tu Bado nipo nipo nae
Ndo kuanza tunayaanza Bado nipo nipo nae
Wenyewe tumeshazoeana Bado nipo nipo nae
Mi bado nipo na yeye
Naomba msitufuate
Naomba msitufuate
Naomba msitufuate
Naomba msitufuate
Raha, raha mustarehe
Sijaomba napewa
Nifikishwe nitosheke
Raha kila siku sherehe
Jamani nanyenyekewe
Eti nile nikogeshwe
Penzi birika, yake sifai ni kimiminio
Ah nimeshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio
Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio
Mwana ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio
Amekupenda mama tulia tulia
Tule zetu ni ujana, dunia dunia
Mambo ya wanadama, puuzia puuzia
Wapasuke bandama, sindano ishawaingia
Mmmh shata shata Shata
Penzi limetaradadi
Sina shaka Shaka
Inyeshe na ipige radi
Rasha rasha Rasha
Kwetu mambo maji maji
Baby washa washa Washa
Waambie wanaosubiria
Bado nipo nipo nae
Bado tupo sana tu Bado nipo nipo nae
Ndo kuanza tunayaanza Bado nipo nipo nae
Wenyewe tumeshazoeana Bado nipo nipo nae
Mi bado nipo na yeye
멜론 님께서 등록해 주신 가사입니다.