곡 정보

Katika (feat. Diamond Platnumz)
Navy Kenzo
Katika (feat. Diamond Platnumz)
앱에서 듣기
Intro: Nahreel
Yeah yeah
No no
Nahreel on the beat

Chorus: Nahreel
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

Verse 1: Nahreel
Ninamidadi ka ya rumba, eeh
Kibao kata kinyonga, ooh naa
Mfukoni namavumba, weeeh
Nungu chini linasunta, eeeh
Yani bo bo bo bo
Kananikoshaga roho ooo
Yani nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Baby girl dance for me one time secreto
Miono feni kunata secreto
Tena jifunge na ngata secreto
Zile za kibao kata secreto

Baby girl dance for me one time secreto
Miono feni kunata secreto
Tena jifunge na ngata secreto

Chorus: Nahreel
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Mbbbrrrookkkee
Katika, katikaaee
Aaiiruubuudaani

Verse 2: Diamond Platnumz
Yani katoto ka ndi, kako ndi ndi ndi
Kamekazika yani ngi ngi ngi
Nyuma mbwii, kako mbwi mbwi mbwii
Kana misifa shangi ngi ngi
Nilikavizia kitamboo aah eeh
Loe kamenasa chambo aah eeh
N'takapakia na mgando aah eeh
Kajegeje karambo aah eeh
Buuumbaaiii
Kana michezo ngomani
Sindimba izombe
Nami nampatia za pwani
Muhogo wa jang'ombe
Yani e e e e
Kananikoshaga roho o o o
Waga nasimama de de de de
Kakitingisha wo wo wo wo
Oooh yaaah, ooh nadendea
Yani siwezi kutembea
Che cheme na chechemea
Yani hadi na legea
Aki

Chorus: Nahreel
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee

Verse 3: Aika, Diamond
Maumivu naugulia
Mwiba ukizama nahisi mateso
Utamu mang'ang'ania
Ndizi kwa nyuma Napata mchecheto
Nakuna Nazi kwa mkongojo aah eeh
Naunga mchuza wa sotojo aah eeh
Una la rosti rojo rojo aah eeh
Mikunjo Fulani wa bogojo aah eeh
Kibao kata tenteme tenteme
Kilinge ni kuzama uchutame
Uwezi pata we mpaka usimame
Haichagui mwembamba mnene
Nikalaze kwa bed kitanda kwa geto
Nikachezeshe samba roketo
Na kalivo na body kinanda sepetu
Tunguli zimenibamba mobetto
Mama

Chorus: Nahreel
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katikaaaeee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
Katika, katikaaee
멜론 님께서 등록해 주신 가사입니다.