곡 정보

A Dance in Fire
HOYO-MiX
원신-불꽃이 뒤얽히는 벌판 (Original Game Soundtrack)
앱에서 듣기
Nyimbo za moto
Ziwache ziwake angani
Kama vile moto usiozimika waenea nchini
Nenda mbele kwa ujabari
Ijapokua hata
Majivu ya motoni
Tena
Chagua njia ya mwenyewe
Moto daima utawaka
Moto daima utawaka
Na uso wa ulimwengu
Utajitokeza haponi
Na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia
Na moto utakuwakia
멜론 님께서 등록해 주신 가사입니다.